Elections 2010 This is a special delivery to all presidential candidates

Elections 2010 This is a special delivery to all presidential candidates

Ndugu Ernesto Sheka,
Appraise me; Lipumba is a professor and has a doctorate in economics. Slaa has a doctorate in law. Im therefore comfortable with them being addressed as Dr. so and so. What is Kikwete's doctorate about?
I have searched Kikwete + Bilal's official cv's on their campaign website and it is only Bilal who has a doctorate in nuclear physics.
Where do you get the Kikwete's doctorate?
Or is this about showing Kikwete being an equal to Dr. Slaa?

Ndugu unaelewa kweli ni maana ya PhD ya Slaa (Doctor's degree in Canon Law 'Iuris Canonici Doctor')???????Au niichambue nikipata nafasi kama itabidi?Tuwe makini ni mambo tunayoongea.

Kuhusu PhD ya Kikwete,fungua hapa;ABOUT UNIVERSITY - Fatih in The Media - Press Releases
 
Jamani huyu mwenzenu ame-copy na ku-paste hiyo doc. Hakuna hoja atakayoweza kurespond intelligently hapa jukwaani.

Time'll prove you wrong.There is a condition worse than blindness, and that is, seeing something that isn't there especially in your fellow human beings.Thanks for reading it.
 
kwanza ni mtanzania kweli huyo?? isijekuwa ni mhamiaji kutoka somalia, india, kenya au iran. naamin mtanzania wa kweli na aliyesoma hawezi kuandika ubwege km huo wa list. mimi nikiwa chuo jina langu ndo kwanza kwenye list ya darsa zima lakini sijawahi kuwa wa kwanza kitaaluma. sasa huyu ****** anaandika huu upupu!!! Dr. Slaa aingie madarakani tuwafukuze warudi kwao kwanza wakaanze upya kuomba visa. shenzi zao na dharau zao.
 
Pakawa,mimi huwa nahoji kwamba nini hasa kimefanyika.Ugomvi na kutoelewana kunatokea pale mtu anaposema hakuna kilichofanyika.Mimi ni mmoja ya mamilioni ya Watanzania ambao wanaamini matatizo yetu yote hayataisha kwa kuwa na kiongozi huyu au yule,katiba fulani au chama.Naamini pia yapo ambayo serikali inapaswa kutia bidii na kuonyesha hatua za dhati katika kuyapatia ufumbuzi lakini juu ya yote naamini katika watu.Hata mitizamo yetu juu ya vitu na maisha ni potofu sana.

kafirwe na RIDHWANI wewe maana naona jinsi unavyojikomba kwa mafisadi...kila mtu kachoka na huyu **** kikwete NDIO NAdiriki kusema **** maana hafai hata kwa senti tano....Mama zetu wanakufa mahospitalini yeye anatanua tu, babu zetu wanakufa kwa kukosa huduma watu kama nyie ******* kama KIKWETE mnazidi kuchafua hewa tu....
 
punguza hasira mkuu, japo wanakera kishenzi pumanina zao.
 
kwanza ni mtanzania kweli huyo?? Isijekuwa ni mhamiaji kutoka somalia, india, kenya au iran. Naamin mtanzania wa kweli na aliyesoma hawezi kuandika ubwege km huo wa list. Mimi nikiwa chuo jina langu ndo kwanza kwenye list ya darsa zima lakini sijawahi kuwa wa kwanza kitaaluma. Sasa huyu ****** anaandika huu upupu!!! Dr. Slaa aingie madarakani tuwafukuze warudi kwao kwanza wakaanze upya kuomba visa. Shenzi zao na dharau zao.

ushabiki = upofu
 
kafirwe na RIDHWANI wewe maana naona jinsi unavyojikomba kwa mafisadi...kila mtu kachoka na huyu **** kikwete NDIO NAdiriki kusema **** maana hafai hata kwa senti tano....Mama zetu wanakufa mahospitalini yeye anatanua tu, babu zetu wanakufa kwa kukosa huduma watu kama nyie ******* kama KIKWETE mnazidi kuchafua hewa tu....

Add one thing;you couldn't register your NGO because you didn't complete the registration process on time and you missed the tender because you didn't know anyone there.I understand desperations.In all circumstances,the best way out of it is staying calm and focused.Pole sana
 
Back
Top Bottom