Calling homeless drug addicts typical American thing, ironically wewe ni mbongo😃Hao wengi ni madrug addicts
A wall is a wall, whether you decide to call it that or notcalling homeless drug addicts typical American thing ironically wewe ni mbongo😃
Even in America there's a lot of Madnesses not only in Tz or Africa onlyBiden is busy funding American proxy war with Russia while his citizens lives on dropouts and sleeping rough. I wonder if organizations for human right are seeing this level of poverty or It's only relevant when its happening in Africa to be considered as an issue? 😳
Kuna mjadala unaendelea kwenye forum nyingine za nje. Mjadala unahusu kinachoendelea sasa huko Ukraine na mkanganyiko unaofanywa na Marekani na washirika wake ulimwenguni.Ni hii mistari mitatu tu; actually miwili uliyoweza kuiwasilishai mada yako ili tuijadili kwa kina hapa JF?
Ninaelewa unayo mengi ya kujadili, lakini kama ilivyo kawaida yetu na elimu zetu hizi, inakuwia vigumu sana kuwasilisha andiko la mawazo hayo hapa ukumbini.
Pole yako na pole kwa nchi yetu hii Tanzania. Sote tumekuwa na upungufu mkubwa sana kutokana na kutekwa na CCM kwa kila njia na kutuweka katika kilema hiki.
Lakini nikubaliane nawe kwa hayo uliyoweza kuwasilisha hapo.
Inajulikana kwamba dola bilioni 17 na zaidi zimekwishatumiwa na taifa hilo kama msaada wa silaha kwa hao waliowaweka kama chambo chao tokea February, wakati walipovamiwa.
Sasa wewe fikiria, hiyo dola bilioni 17, ni pesa ndefu sana hasa kwa nchi zetu hizi. Hawa watu siku moja ingetokea kama muujiza hivi, wakaamua kutumia kiasi hicho cha kitita, kusaidia tu tuondokane na ukilema wetu huu wa kushindwa hata kuwasilisha tu mada, si hapo hali yetu ingebadilika sana?
Nimechangia kwenye mada yako hii, kwa sababu nimevutiwa na mwelekeo wa uamini wako, hata kama huwezi kuuwasilisha vyema tukakuelewa.
EeeenHeeee!Kuna mjadala unaendelea kwenye forum nyingine za nje. Mjadala unahusu kinachoendelea sasa huko Ukraine na mkanganyiko unaofanywa na Marekani na washirika wake ulimwenguni.
Tuna kasumba ya kuamini kuwa Ulaya na Marekani ni karibu sawa na mbinguni na wanacho amua watu wa ulaya na Marekani ndio sahihi, kwenye uzi huu wapo wachache au wengi watafunguka macho na kuepuka ulaghai tena kwa mistari hiyo miwili uliyoitaja inayoweza kujieleza kwa maneno zaidi ya elfu moja.
Unaweza kuchangia kwenye hii mada bila kuweka u CCM na kuponda kilichopo mezani, kwa kufanya hivyo utafungua macho wengi wasio na namna nyingine ya kupata taarifa sahihi.