Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Moyo wa mtu ni kiza kinene sana na kuna baadhi ni mabingwa wa kuficha uhalisia wao
 
Nasikia usukumani bange ni kama sigara ya kawaida
 
Kwa Pengo hakuna laana yoyote acheni uongo. Pengo huyu huyu Cardinal?


Huyu ameshachanganyikiwa, laana ya kumtukana Cardinal Pengo, laana ya kukashifu dini za wengine, laana ya kujitafunia kondoo aliostahili kuwachunga na laana ya kuvunja ndoa ya Imma kamwe haziwezi kumuacha salama.
 
Mkuu pamoja na kumpima baada ya miaka mitano hii kauli yake unaichukuliaje?!

Mtu makini anaweza kujichanganya kiasi hicho?!
Mm ninaamini hata Mungu alikuwa akiwaagiza mitume wake nendeni sehemu fulani badaye anabadilisha Maaamuzi na kusema usiende maana si salama kwako.nafikiri Bishop Gwajima ameoteshwa ni wakati wake sasa kuwatumikia Wana Kawe ili wafikishe kwenye Nchi ya Asali na Maziwa.
 
Kiukweli Askofu Gwajima hapati kitu Kawe. Mzee Makamba mbona keshamaliza kazi
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kibwagizo cha mwisho ndio ninakipenda.
Hiyo inatwa piga keleleeeeeeeeee.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Kashindwa kumteketeza dada Mange na dua zake za uchumia tumbo...... Dua la kuku halimpati mwewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapa tuseme rangi Haina chama,hivyo tumkatae mtu mwenye rangi mbili.
 
Hata kama Mdee hafai, lakini sio Ngwajiboy mbadala wake! Kimsingi CCM hawajaleta mgombea wa hadhi ya Kawe, walipaswa mtu anaye kuheshimu na kuheshimu wenzake asiye na kauli mbili, hivi ahadi za catapillar nani anaamini? Kimsingi haminiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…