Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Hivi imekuwaje mchungaji huyu niliyekuwa namheshimu kwa mafundisho yake ya Neno la Mungu kageuka ghafla na kujiunga na kambi ya shetani kushambulia watu wa Mungu?

Inakuwaje mchungaji Gwajima anaamua kutenda dhambi ya uongo na unafiki waziwazi kwa jina la siasa za kutaka ubunge tu?

Itawezekanaje maji kwenye baadhi ya maeneo ya jimbo lilelile alete huyo anayemwita "mheshimiwa Rais" na maeneo ya jimbo lilelile yasiyo na maji liwe ni tatizo la Mh. Mbunge Halima Mdee?

Anajua asemacho kweli huyu mchungaji ama ameshapigwa upofu ktk fikra zake za kiroho na aliyeamua kumtumikia - shetani?

I am very disappointed with Mr Gwajima..!
Moyo wa mtu ni kiza kinene sana na kuna baadhi ni mabingwa wa kuficha uhalisia wao
downloadfile.jpg
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE:
Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Nasikia usukumani bange ni kama sigara ya kawaida
 
Kwa Pengo hakuna laana yoyote acheni uongo. Pengo huyu huyu Cardinal?

Huyu ameshachanganyikiwa, laana ya kumtukana Cardinal Pengo, laana ya kukashifu dini za wengine, laana ya kujitafunia kondoo aliostahili kuwachunga na laana ya kuvunja ndoa ya Imma kamwe haziwezi kumuacha salama.
 
Mkuu pamoja na kumpima baada ya miaka mitano hii kauli yake unaichukuliaje?!

Mtu makini anaweza kujichanganya kiasi hicho?!
Mm ninaamini hata Mungu alikuwa akiwaagiza mitume wake nendeni sehemu fulani badaye anabadilisha Maaamuzi na kusema usiende maana si salama kwako.nafikiri Bishop Gwajima ameoteshwa ni wakati wake sasa kuwatumikia Wana Kawe ili wafikishe kwenye Nchi ya Asali na Maziwa.
 
Kiukweli Askofu Gwajima hapati kitu Kawe. Mzee Makamba mbona keshamaliza kazi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kibwagizo cha mwisho ndio ninakipenda.
Hiyo inatwa piga keleleeeeeeeeee.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Kashindwa kumteketeza dada Mange na dua zake za uchumia tumbo...... Dua la kuku halimpati mwewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE:
Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Sasa hapa tuseme rangi Haina chama,hivyo tumkatae mtu mwenye rangi mbili.
 
Hata kama Mdee hafai, lakini sio Ngwajiboy mbadala wake! Kimsingi CCM hawajaleta mgombea wa hadhi ya Kawe, walipaswa mtu anaye kuheshimu na kuheshimu wenzake asiye na kauli mbili, hivi ahadi za catapillar nani anaamini? Kimsingi haminiki!
 
Back
Top Bottom