Nitampima 'Mbunge' wangu mtarajiwa Gwajima baada ya miaka yake Mitano na kuhusu 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu hata Sisi pia tunayo sana.
Kumbe nawe ni popo tu???Nitampima 'Mbunge' wangu mtarajiwa Gwajima baada ya miaka yake Mitano na kuhusu 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu hata Sisi pia tunayo sana.
😆😆😆Haeleweki, kata zenye maji yameletwa na JPM ila ukosefu wa maji ni Mdee.
Tukisema huyu jamaa ni kama ile mijitu anayoifufuaga msibishe. Ukikaa jirani na waridi utanukia waridi. Ukikaa jirani na misukule na wewe unakuwa hivyohivyoGWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.
GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Unataka atage mayai ya kuilisha KAWE nzima?Halima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya Kawe
Wakishindwa kumtambua mzalendo halisi na mpenda haki Kama huyo Basi wanawezeza kuwa sii binadamu wenzetu.Unataka atage mayai ya kuilisha KAWE nzima?
Utakuwa na wivu tu kwasababu ni mwanafamilia, una kile kiroho cha korosho!.
Akishinda tena usage chupa uchanganye kwenye juice baridi unywe.
Hivyo huyu askofu gwajima kwenye yale mauno na kondoo wake, walitoka patupu kweli?! Hakumpa mimba!!! Maana si kwa mauno yale!!!!! Hongera Baba Askofu, kipaji unacho.GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.
GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Nani alimdanganya agombee Kawe kwa Wajanja? Kwanini hakwenda kugombea kijijini kwake KOLOMIJE alikozaliwa? Askofu ameingia Choo Cha kike[emoji23][emoji23][emoji23]
Gwajima ni HATARI SANA kwa Taifa hili.
Ana mdomo mchafu sana huyu jamaa, mkabila na mdini
CCM imenishangaza sana kumteua hili dudu mtu
Wana Kawe naombeni mumpige chini huyu dunye, WANA CCM wenzangu naombeni sana hii nafasi tuipoteze tu maana ni aibu kuwa na muwakilishi wenye hulka ya ubaguzi wa kikabila na kidini
Roho inakuuma mwenzio katoboa wewe bado hohehahe, wanawake kwa kuoneana wivu tunawajuaHalima ni mwanafamilia lakini ubunge umetosha sasa, hakuna analofanya jipya Kawe