Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Tukisema huyu jamaa ni kama ile mijitu anayoifufuaga msibishe. Ukikaa jirani na waridi utanukia waridi. Ukikaa jirani na misukule na wewe unakuwa hivyohivyo
 
Utakuwa na wivu tu kwasababu ni mwanafamilia, una kile kiroho cha korosho!.

Akishinda tena usage chupa uchanganye kwenye juice baridi unywe.

Halaf atangulie mbele ya haki fasta asimuone HJM akiendelea kuwawalilisha wanaKawe na kulitetea Taifa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi hapo shida ni yeye au ni kuwa CCM?
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE:
Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Hivyo huyu askofu gwajima kwenye yale mauno na kondoo wake, walitoka patupu kweli?! Hakumpa mimba!!! Maana si kwa mauno yale!!!!! Hongera Baba Askofu, kipaji unacho.
 
hio nileteeni fulani kwioo.!nakufa kucheka[emoji28]
IMG-20201016-WA0174.jpg
 
Hivyo huyu askofu gwajima kwenye yale mauno na kondoo wake, walitoka patupu kweli?! Hakumpa mimba!!! Maana si kwa mauno yale!!!!! Hongera Baba Askofu, kipaji unacho.
Askofu fundi wa pilau[emoji1787]
 
Kumpa Halima kura ni kupalilia Udikteta.

Jamani kumi haitoshi kutoa mchango wako kwa Taifa.

Ni muda mrefu sana kisiasa, sio vibaya akaachia wengine nafasi.
 
Gwajima ni HATARI SANA kwa Taifa hili.
Ana mdomo mchafu sana huyu jamaa, mkabila na mdini

CCM imenishangaza sana kumteua hili dudu mtu

Wana Kawe naombeni mumpige chini huyu dunye, WANA CCM wenzangu naombeni sana hii nafasi tuipoteze tu maana ni aibu kuwa na muwakilishi wenye hulka ya ubaguzi wa kikabila na kidini
 
Back
Top Bottom