This is Dar es Salaam(New York of East Africa)

This is Dar es Salaam(New York of East Africa)

Because of that one hotel? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

90% of Dar looks like this.
View attachment 1709345
That Area when zoomed
IMG_20200612_181846.jpg
 
Enyewe, nimewacha. New York ndio hiyo hadi na biiaratii. 🤣 🤣 🤣

View attachment 1709414
😂 😂 😂
Mtaniua hapa ndani. Eti hadi na nini?
But come to think of it... what were the authorities in Dar doing to allow this level of confusion in building? Yani hawangekaa tu chini wapange hii New York of Africa angalau iwe na mvuto hata kama ni kidogo?! Hapa walizembea sana
 
Nilikuambia kwa maestoo Dar hata baro hakuna. First things first, Wacha washughulikie baroo.🤣🤣
 
MY TAKE: Any question?
Ilifaa umpe kongole Mzee Salim Bahkresa kwa hotel murua na Fumba village kwa kweli mzee katisha sana!!

Wala sijaona haja ya hawa jamaa kulialia na kuanza kuharibu huu Uzi
 
Jamaa anajua kucheza na drone vizuri[emoji1787][emoji1787]video nimeicheki mpaka raha, amekwepa kabisa makaazi ya dar, kaleta posta, hotels na fumba town ya zenji kupumbaza watu[emoji1787][emoji1787]
Dar ni Kinshasa/Lagos.,
 
Back
Top Bottom