Shida ya hawa .com wanataka wavae jeans chini ya makalio, naamini 2021 watazivaa chini ya magoti.Pia vijana hawajui kuwa tofauti kuna attract na kufanya uwe smart kuliko wengine....maana wote wanakimbilia kumyoa vijogoo,kuvaa jeans model, tshirt kali raba na buti za bei, wakati angeweza kuwa na code ya kitambaa mfano akapiga shati jeupe, suluari black sio model saaana inakuwa kawaida tu, mkanda brown na shoes brown hapo anakuwa ameoendeza kuliko mvaa jeans..sema hawajui tu
Blaza huwezi kumpa adhabu mtoto wako mpaka umywee K VANT?,utakua baba legelege,samahani lakiniKwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
Usijali bro, ebu jifunze kitu kupitia mimi.Blaza huwezi kumpa adhabu mtoto wako mpaka umywee K VANT?,utakua baba legelege,samahani lakini
MmmmmmmhhhhhhPia vijana hawajui kuwa tofauti kuna attract na kufanya uwe smart kuliko wengine....maana wote wanakimbilia kumyoa vijogoo,kuvaa jeans model, tshirt kali raba na buti za bei, wakati angeweza kuwa na code ya kitambaa mfano akapiga shati jeupe, suluari black sio model saaana inakuwa kawaida tu, mkanda brown na shoes brown hapo anakuwa ameoendeza kuliko mvaa jeans..sema hawajui tu
Unaruhusiwa kupinga mkuuMmmmmmm
Mmmmmmmhhhhhh
Labda kwa maana kaandika sembleni na huku ni sebuleniππππ€£Acha utani bhana, khee...!
Au umekosea jukwaa baada ya kupiga sandinaisa..(sorry sijui nimchapia..!?!)
ππππNdio mkuu, kuna siku nilikuwa naingia kwa nyumba nikasikia sebule nzima inatetemeka kwa lisauti la ajabu la nyimbo inaimba sijui Tango... nataka kula tango..... Alafu mwisho kuna limwanaume linamalizia Kata..kata...kataaa.....
Ile nabisha tu hodi, kijana akaanza kusikiliza tibisii wani na kipindi cha kutangaza vifo...
Hahaha aseenitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko
Niajiri mkuu nije kumfunza nidhamu[emoji23]Hizo nguvu sina tena mkuu, ndiomaana hapa namlia hesabu ya kumpea rungu la ugoko tu...[emoji55][emoji55]
Kila kitu kina muda wake mkuu.Pia vijana hawajui kuwa tofauti kuna attract na kufanya uwe smart kuliko wengine....maana wote wanakimbilia kumyoa vijogoo,kuvaa jeans model, tshirt kali raba na buti za bei, wakati angeweza kuwa na code ya kitambaa mfano akapiga shati jeupe, suluari black sio model saaana inakuwa kawaida tu, mkanda brown na shoes brown hapo anakuwa ameoendeza kuliko mvaa jeans..sema hawajui tu
Hata kama ndio ujana, mimi kwangu sitaki kuona suruali zilizo chanwa kwenye magoti na hizo nyele zenu zenye mnanyoa kama bodaboda anasikiliza singeli...[emoji2955][emoji52][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee unakusumbua, hebu muache mwenzio afurahie wakat wake