Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #21
Shida ya hawa .com wanataka wavae jeans chini ya makalio, naamini 2021 watazivaa chini ya magoti.Pia vijana hawajui kuwa tofauti kuna attract na kufanya uwe smart kuliko wengine....maana wote wanakimbilia kumyoa vijogoo,kuvaa jeans model, tshirt kali raba na buti za bei, wakati angeweza kuwa na code ya kitambaa mfano akapiga shati jeupe, suluari black sio model saaana inakuwa kawaida tu, mkanda brown na shoes brown hapo anakuwa ameoendeza kuliko mvaa jeans..sema hawajui tu
Shida ya vijana hawajui kutofautisha fashion na smartness