Zama zimebadilika kwan hujui hilo? Uwiiiiiiiiiiih mnatukosesha cha kusimulia baadae tukiwa wazee, kila mtu ashinde match zake.Hata kama ndio ujana, mimi kwangu sitaki kuona suruali zilizo chanwa kwenye magoti na hizo nyele zenu zenye mnanyoa kama bodaboda anasikiliza singeli...[emoji2955][emoji52]
"Sio vizuri bhabha," kwa saut ya mdada wa tangazo la tigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasema hivi....
Hayo mabadiliko ya zama asubirie akukuwa akahangaike nayo huko nyumbani kwake
Sawa mkuu, Asante kwa ushauriKaka yangu ndo alikuwa balaa
Kwanza alikuwa na miche ya ganja chumbani kwake,anaihudumia fresh kama greenhouse vile
Sasa mzee akawa anamsumbua kwamba aache kunyoa kihuni nyumbani kwake na mambo menginemengine ya kihuni.
Aisee,siku moja uvumilivu ukamshinda akamwambia mzee
"Mbona baba hata wewe,wakati wa ujana wako kwenye picha nimeona umenyoa panki??"
Mzee akamnyooshea mikono akamwambia ngoja ukue na wewe.
Siku hizi ananipigia simu ananiambia watoto wake wanamsumbua,ukimuuliza shida nini,
Eti wana mambo ya kihuni,
Mi nachekaga namwambia tu awaache maana huo ndo muda wao kama yeye alivyokuwa kwa mzee[emoji38][emoji38]
Hilo haliwezekani, wewe utataka nae atataka kwa upande wake.Hapana mkuu, mimi nataka nimuone na adabu 24/7...[emoji3525][emoji3525]
Mamba hazai kenge[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]Tayari jana nimesha mpeleka shule, na leo jioni ninampango nikaikague sim yake. Sababu kuna jina nimeona amesave Nikikupea utawezana...
[emoji102][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji69][emoji69][emoji69][emoji69]Dingii mnoko**Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari jana nimesha mpeleka shule, na leo jioni ninampango nikaikague sim yake. Sababu kuna jina nimeona amesave Nikikupea utawezana...
hilo jina lilivoseviwaWhat's wrong mkuu...[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16] kata kipande cha mti kinacholingana na banzi[emoji16]Mkuu, banzi napata wapi na wauza mbao wamesha funga mida hii....[emoji849][emoji849]
πππππππdaah nimechekaa.
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]