This is enough, shule zifunguliwe tu

This is enough, shule zifunguliwe tu

Hata kama ndio ujana, mimi kwangu sitaki kuona suruali zilizo chanwa kwenye magoti na hizo nyele zenu zenye mnanyoa kama bodaboda anasikiliza singeli...[emoji2955][emoji52]
Zama zimebadilika kwan hujui hilo? Uwiiiiiiiiiiih mnatukosesha cha kusimulia baadae tukiwa wazee, kila mtu ashinde match zake.
 
Nasema hivi....
Hayo mabadiliko ya zama asubirie akukuwa akahangaike nayo huko nyumbani kwake
 
"Sio vizuri bhabha," kwa saut ya mdada wa tangazo la tigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka yangu ndo alikuwa balaa

Kwanza alikuwa na miche ya ganja chumbani kwake,anaihudumia fresh kama greenhouse vile

Sasa mzee akawa anamsumbua kwamba aache kunyoa kihuni nyumbani kwake na mambo menginemengine ya kihuni.

Aisee,siku moja uvumilivu ukamshinda akamwambia mzee

"Mbona baba hata wewe,wakati wa ujana wako kwenye picha nimeona umenyoa panki??"

Mzee akamnyooshea mikono akamwambia ngoja ukue na wewe.

Siku hizi ananipigia simu ananiambia watoto wake wanamsumbua,ukimuuliza shida nini,

Eti wana mambo ya kihuni,

Mi nachekaga namwambia tu awaache maana huo ndo muda wao kama yeye alivyokuwa kwa mzee😆😆
 
Kaka yangu ndo alikuwa balaa

Kwanza alikuwa na miche ya ganja chumbani kwake,anaihudumia fresh kama greenhouse vile

Sasa mzee akawa anamsumbua kwamba aache kunyoa kihuni nyumbani kwake na mambo menginemengine ya kihuni.

Aisee,siku moja uvumilivu ukamshinda akamwambia mzee

"Mbona baba hata wewe,wakati wa ujana wako kwenye picha nimeona umenyoa panki??"

Mzee akamnyooshea mikono akamwambia ngoja ukue na wewe.

Siku hizi ananipigia simu ananiambia watoto wake wanamsumbua,ukimuuliza shida nini,

Eti wana mambo ya kihuni,

Mi nachekaga namwambia tu awaache maana huo ndo muda wao kama yeye alivyokuwa kwa mzee[emoji38][emoji38]
Sawa mkuu, Asante kwa ushauri
 
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
[emoji102][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji69][emoji69][emoji69][emoji69]Dingii mnoko**
 
Samahani mkuu, hii ni jina ya mkoa gani...!!??[emoji848][emoji848]
 
Mamba hazai kenge[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Hapana mkuu, mimi Ni mseminari ambae sikufanikiwa kupakwa mafuta kwasababu nilitoroka kwenda sehem [emoji482] fulani...[emoji481]
 
This time nimeamua sinto mpa sim..
Nitahakikisha anasaidia kazi za nyumbani kama kufua, kufyeka/kata miba ya fance, kupalilia majani marefu kule nyuma na kisha jioni ndipo jioni aende kwenye mazoezi ya mpara wa kikapu ule kama maiko jorodani...[emoji41][emoji41]
 
.
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
😂😂😂😂😂😂😂daah nimechekaa
 
Back
Top Bottom