This is for You......

This is for You......

Lol Mbu huyu antaka niimpe ya Sanamu la Michelin lol

Shem upo?

....hapana bana, klorokwini leo alinitabiria kipigo cha mbwa kachoka kwa man united...
na dediketi baikoko kwake alale unono...!

 
Last edited by a moderator:

....hapana bana, klorokwini leo alinitabiria kipigo cha mbwa kachoka kwa man united...
na dediketi baikoko kwake alale unono...!


Hahahah subiria Invoice yako in Euro nakwambia!kama hatujauza urithi wa wana!
 
Last edited by a moderator:
Halaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
Hahaha...Ankal assumptions zako bana...eti wewe ndio una masizi au wanakusingizia
 
Kipipi jamani nini tena? Ah nsamehe bana ntakuletea juice kwa ajili ya ugonjwa

Ni homa tu mpendwa wangu, alafu nasikia mapigo ya moyo yananienda mbio sijui kwa nini! Leo nimefungwa siendi kokote, ukiniletea juice ndo mlo kabisa lol!!
 
Back
Top Bottom