MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #201
....
lol.....mwj1 darling wangu, mpe wimbo huyo ndio atakuelewa vizuri...!
Lol Mbu huyu antaka niimpe ya Sanamu la Michelin lol
Shem upo?
Lol Mbu huyu antaka niimpe ya Sanamu la Michelin lol
Shem upo?
Kipipi mydia nilichopoka kidogo kwenda kupika chapati hahhhhKumbe upo?? Mi nilijua umekimbia dear!
Hahahah subiria Invoice yako in Euro nakwambia!kama hatujauza urithi wa wana!
....hapana bana, klorokwini leo alinitabiria kipigo cha mbwa kachoka kwa man united...
na dediketi baikoko kwake alale unono...!
Hahaha...Ankal assumptions zako bana...eti wewe ndio una masizi au wanakusingiziaHalaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
Kipipi mydia nilichopoka kidogo kwenda kupika chapati hahhhh
Jana nilisema ka natania MJ1, mwenzako nimeamka naumwa ujue! I told you MJ1 .......I told you!!!
Kipipi jamani nini tena? Ah nsamehe bana ntakuletea juice kwa ajili ya ugonjwa
aiseeeeeeeeeeeeeee
king'asti umeiona hiyooo
zawadi yako pia...lol