MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #121
uuuwiiiiii naomba radhi sirudii tena, at least in the coming few minutes
but wait... I dedicate this one to mj1.. Ya kwako inakuja
demis roussos - my friend the wind - youtube m
my friend the wind.... Oh lovely
ikipigwa kura humu na wadada yupi utatamani alete posa kwenu
jina lako litakuja no 1 nina uhakika
hebu anza kuhesabu your blessings kwanza
Mwenzangu Gaijin....hivi yule si alisema ilipenda post lol!!!The Finest hongera .......
lakini come to think of it ....uliwahi kurushiwa thread ya ma-lovey .....
Niulize swali, hivi harusi ya Soulmates itakuwa lini.......twasubiria..lol....msiniulize maswali tafadhali
....this is for you mwanajamiione, my soulmate...
Mwenzangu Gaijin....hivi yule si alisema ilipenda post lol!!!
Ah Mbi=u aksante, huu wimbo kwa kweli ninaupenda.......................Nimekuchagua wewe, Uwe wangu....,h dah
....this is for you mwanajamiione, my soulmate...
...hivi wewe mwanajamiione na ujabali wako wote huo unakubali kufa na tai yako shingoni? si mwambie tu ajijue...hata kama ni mimi nitaje tu! lol...
Loh....ngoja nikachekee nje hapa watu wanaweza nihisi nina uchizi..Boss
Yale masizi vipi baba?
Boss
Yale masizi vipi baba?
Loh....ngoja nikachekee nje hapa watu wanaweza nihisi nina uchizi..
Kuna mtu anasutwa? Ntawapa matarumbeta ya kusutia. Kwa 50% discount kama ntashiriki,lol
Niulize swali, hivi harusi ya Soulmates itakuwa lini.......twasubiria..lol....msiniulize maswali tafadhali
King'asti hawa wameniacha uani kabisa hata sijui wanazungumzia nini hapa.Kuna mtu anasutwa? Ntawapa matarumbeta ya kusutia. Kwa 50% discount kama ntashiriki,lol
thats the spirit my boy!!! thats the word!!
King'asti hawa wameniacha uani kabisa hata sijui wanazungumzia nini hapa.
Masizi tena?!
Yaani nimejikuta naanza kumfikiria Boss halafu nikafikiria na masizi...lol nimecheka kweli.....nikasema aenda kwa mganga huyu nini ndio kapewa masharti hayo..lol!!hahaha na kilichokuchekesha hakijuulikani! hahaha
King'asti hawa wameniacha uani kabisa hata sijui wanazungumzia nini hapa.
Masizi tena?!
thats the spirit my boy!!! thats the word!!