This is Kimanzichana.....

astig

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
204
Reaction score
248
Sina hakika ila nadhani Mkuranga ndio sehemu yenye wapiga chabo wengi kuliko sehemu yeyote Tanzania.
SO NEXT UKIJA Mkuranga kuchepuka usiseme sikukujulisha. Afu jamaa wana ushirikiano balaa. Unaweza kuta dirishani wako hata wanne[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] cha kuudhi zaidi hata wahudumu wa Guest ni wapiga chabo hatari tena wao ndio hutoa info juu ya room gani kuna mdada mzuri wa kufurahisha
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Du, hiyo guest imechoka kweli, huko ndani sijui ikoje!
 
Kunguni na chawa awakosekani humo ndani ya hiyo guest, mix viroboto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…