astig
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 204
- 248
Sina hakika ila nadhani Mkuranga ndio sehemu yenye wapiga chabo wengi kuliko sehemu yeyote Tanzania.
SO NEXT UKIJA Mkuranga kuchepuka usiseme sikukujulisha. Afu jamaa wana ushirikiano balaa. Unaweza kuta dirishani wako hata wanne[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] cha kuudhi zaidi hata wahudumu wa Guest ni wapiga chabo hatari tena wao ndio hutoa info juu ya room gani kuna mdada mzuri wa kufurahisha