" this is like finding forever"

" this is like finding forever"

x-tchar

New Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
1
Reaction score
0
ni kama mwaka wa pili now natafuta kazi za engineering,IT,COMPUTER KIDUME SIPATI...nipe advice what am i suppose to do...to get a job, well paid one....
 
Aiiiii jemeni..........ulikuwa wapi ol dis tym, kampuni yetu ilikuwa inatafuta maengineer nilitangaza humu humu na niliwapata.........vl kip u in mid if thr z ny ada vacancy ntakujulisha....tena ulivyosema salary ilikuwa bomba...🙁

pole better luck next time!
 
ni kama mwaka wa pili now natafuta kazi za engineering,IT,COMPUTER KIDUME SIPATI...nipe advice what am i suppose to do...to get a job, well paid one....

Kidumu chama cha mapinduzi
 
ni kama mwaka wa pili now natafuta kazi za engineering,IT,COMPUTER KIDUME SIPATI...nipe advice what am i suppose to do...to get a job, well paid one....

Karibu jamvini chijana....naona post ya kwanza na kilio, pole sana ila usijali, JF utapata msaada

Ila nikushauri hapo kwenye red...najua vijana wengi tunakuwa very ambitious kupata kazi ambayo keshokutwa utanunua gari na maendeleo mengine ghafla ghafla....hii wakati mwingine inatufanya kupuuzia baadhi ya kazi na kujikuta tunasotea "benchi".........Nakumbuka when i graduated nilikuwa na ndoto ya kupaa mawinguni mara baada ya ajira yangu ya kwanza and i was looking for a better paying job na ku-turn down kazi nyingine...

Ushauri wangu tafuta kazi hata ambayo "hailipi sana - better paying job" ilimradi inalipa then ule uzoefu utakunyakua na kwenda kazi nyingine inayolipa zaidi....Si unajua siku hizi better paying Job wanataka uzoefu wa kazi miaka 50?
 
Back
Top Bottom