This is more than too much

This is more than too much

Hizi dini usipojua kuzipambanua uatgeuzwa mtaji tu na mi nasema watumishi wazidishe dharau kwa waumini huenda iko siku waumini akili zikawarejea
 
Wanawake hawana akili.hapo anadhalilishwa tu.mtoto anapatikana Kwa kujamiana na kama unatatizo katibiwe hospitali na siyo kushikwa namna hiyo
 
 
 
Daaaah, MCHUNGAJI KISHATUPIGA WABONGO YUPO KWAO DRC ANATUCHEKA NA UJINGA WETU!😭😭😭. KUNA HAJA YA SERIKALI YA TANZANIA KUWEKA REGULATORY BODIES PAMOJA NA SHERIA ZAKE ILI KUDHIBITI HIZI TAASISI ZA DINI.
 
 
Back
Top Bottom