This is not a suicide note

Kizzy Wizzy,
But what I feel is curiocity not despair na kiuhalisi mi sio mpambanaji zaidi I am a hobyst katika maisha. I go with the wind.Kuhusu kufanikiwa nafikiri ni swala ambalo natamani hata mimi liwe ndo sababu ya mimi kujihisi hivo but deep down I know I am far better.

Sifikiri kujiua kabisa ila natamani tu kufa ila painlessly then nione upande wa pili ukoje
 


Kweli tumepishana..wengine tjnaomba tusife hata mama maisha magumu!
 
Uko depressed aisee. Tafuta msaada haraka sana usaidiwe. Hiyo siyo kawaida.
 
Mimi naogopa kufa..Hasa kuzikwa ndio naogopa. Kwenda sehemu usiyoijua yataka moyo..Mafundisho ya kiislamu yanaogopesha mno, eti ukifa ukizikwa uhai unarudi.
Ukifa unakua kwenye state of nothing..There's extremely nothing..total darkness.
So ww jamaa hata ukifa hutajua kitu..Can't wait Time machine to be accomplished niwe nakikimbia kifo
 
Mkuu iyo ni depression na mentally illness pia ukiwa unawaza sana itakuja kuwa psychological problem,,Na hii inatokea endapo kuna kitu ulipanga uwe nacho ktk stage flan ya maisha sasa umekikosa,,wahi kumuona daktar wa psychology ataweza kung'amua tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CERN project.
Terrible
 
Suspectedly psychosis...nenda hospital ili upigwe maswali kibao kuthibitisha kama una shida ta akili kisha upewe madawa ya akili na usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…