This is not a suicide note

This is not a suicide note

Kizzy Wizzy,
But what I feel is curiocity not despair na kiuhalisi mi sio mpambanaji zaidi I am a hobyst katika maisha. I go with the wind.Kuhusu kufanikiwa nafikiri ni swala ambalo natamani hata mimi liwe ndo sababu ya mimi kujihisi hivo but deep down I know I am far better.

Sifikiri kujiua kabisa ila natamani tu kufa ila painlessly then nione upande wa pili ukoje
 
But what I feel is curiocity not despair na kiuhalisi mi sio mpambanaji zaidi I am a hobyst katika maisha.I go with the wind.Kuhusu kufanikiwa nafikiri ni swala ambalo natamani hata mimi liwe ndo sababu ya mimi kujihisi hivo but deep down I know I am far better.Sifikiri kujiua kabisa ila natamani tu kufa ila painlessly then nione upande wa pili ukoje

Kweli tumepishana..wengine tjnaomba tusife hata mama maisha magumu!
 
Kwanza niseme tu kwamba sio kwamba kuna changamoto ninazopotitia ambazo zinanifanya nijisikie hali ya kutamani kufa ingawa ndio kuna changamoto katika maisha lakini hizi nimekuwa na deal nazo for more than 20 years of my life so I can still put up a fight

Tatizo nililo nalo ni tatizo la kutaka kufa ili nione kinachotokea baada ya kufa.Nakuwa na hamu tu ya kufa kiasi kwamba hata nikiumwa nakataa matibabu labda kama yananipa maumivu au kero ndo najikuta kwa sababu ya maumivu natafuta tiba.
Hii hali nimekuwa nayo kwa muda mrefu sana inakuja na kuondoka.Sijajua kama ni tatizo la akili ama ni nini ila nachojua ni kwamba hii hisia inaniathiri sana hasa katika mfumo wangu wa kufanya maamuzi na mtazamo wangu kuhusu maisha

Je kuna anayeelewa hasa kiini cha hali hii?Kuna anae pitia hali hii?Am I suicidal?
Uko depressed aisee. Tafuta msaada haraka sana usaidiwe. Hiyo siyo kawaida.
 
Mimi naogopa kufa..Hasa kuzikwa ndio naogopa. Kwenda sehemu usiyoijua yataka moyo..Mafundisho ya kiislamu yanaogopesha mno, eti ukifa ukizikwa uhai unarudi.
Ukifa unakua kwenye state of nothing..There's extremely nothing..total darkness.
So ww jamaa hata ukifa hutajua kitu..Can't wait Time machine to be accomplished niwe nakikimbia kifo
 
Mkuu iyo ni depression na mentally illness pia ukiwa unawaza sana itakuja kuwa psychological problem,,Na hii inatokea endapo kuna kitu ulipanga uwe nacho ktk stage flan ya maisha sasa umekikosa,,wahi kumuona daktar wa psychology ataweza kung'amua tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naogopa kufa..Hasa kuzikwa ndio naogopa. Kwenda sehemu usiyoijua yataka moyo..Mafundisho ya kiislamu yanaogopesha mno, eti ukifa ukizikwa uhai unarudi.
Ukifa unakua kwenye state of nothing..There's extremely nothing..total darkness.
So ww jamaa hata ukifa hutajua kitu..Can't wait Time machine to be accomplished niwe nakikimbia kifo
CERN project.
Terrible
 
Suspectedly psychosis...nenda hospital ili upigwe maswali kibao kuthibitisha kama una shida ta akili kisha upewe madawa ya akili na usingizi
Kwanza niseme tu kwamba sio kwamba kuna changamoto ninazopotitia ambazo zinanifanya nijisikie hali ya kutamani kufa ingawa ndio kuna changamoto katika maisha lakini hizi nimekuwa na deal nazo for more than 20 years of my life so I can still put up a fight

Tatizo nililo nalo ni tatizo la kutaka kufa ili nione kinachotokea baada ya kufa. Nakuwa na hamu tu ya kufa kiasi kwamba hata nikiumwa nakataa matibabu labda kama yananipa maumivu au kero ndio najikuta kwa sababu ya maumivu natafuta tiba.

Hii hali nimekuwa nayo kwa muda mrefu sana inakuja na kuondoka.Sijajua kama ni tatizo la akili ama ni nini ila nachojua ni kwamba hii hisia inaniathiri sana hasa katika mfumo wangu wa kufanya maamuzi na mtazamo wangu kuhusu maisha

Je kuna anayeelewa hasa kiini cha hali hii?Kuna anae pitia hali hii? Am I suicidal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom