Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Duh,wakati wengine tuna ndoto ya kumiliki mademu mkali,majumba makubwa makubwa ya kifahari,magari ,pesa nyingiii...we unandoto ya kufa?kweli dunia uwanja wa fujo ila una matatizo ya akili,wahi hospitali..wakifeli unahitaji maombezi
Ninajichanganya na watu sana,Ninasoma vitabu sana,ninasafiri sana,Haya mawazo yakgo nyuma ya ubongo wangu just behind the normal thought.Nikiyawaza najsikia vizuri sana.I feel rejuvenated and excited.Sijawahi kufikiria kujiu but I kind of like the idea of dying
kuna moment nilikuwa natamani tu kufa yaani nakaa nawaza tu kifo,ghafla nikajikuta naogopa..yaani sasa hivi naogopa hata kukitaja hicho kifo
Man I talk.I interact,I love life but I am curious about death.Sidhani kama ninaumwa though nashangaa kwa nini nimekuwa na interest ya kufa tena kwa ajili ya kuona kilichoko on other sideTo speak is the best way of healing!...utapona
How do you think you will be able to testify what you have experienced out there? Sasa ukishaenda kukiona utarudi kuja kutusimulia?!I used to watch and read but kwa kweli the way najisikia ni kama vile kuna kitu kiko upande wa pili nataka kwenda kukiona.
hahahaa kumbe hii moment tunapitia wengi..Mie niliwah pitia moment niondoke mazima ..sasq akili ikaanza jifunza naondokaje nisiache alama yaan wasijue niko wapi .means nitimkie hata mipori ya amazon huko dadek nikaliwe na simba wa nchi za nje😅!..nikaanza kujitibu mwenyewe nikaitafta furaha mwenyeweee
Yaan balaahahahaa kumbe hii moment tunapitia wengi..
kuna siku nimeandika ujumbe kabisa ..Nikaanza kugoogle mapori hatari,
muda Huo akanipigia best yangu ananielezea matatizo yake nikajiona kwamba nipo kwenye winning situation.. and I get back to life
Sasa if it's all about experience, why don't you wait for the God's hour? Then you will experience it all.It is not abut testifying,it is abut experiencing