This is painful

This is painful

Mimi siku nikipata ya kuongea na wanachuo nitawaambia ukweli wa kila kitu kwenye maisha...
Kwa kweli inabidi waambiwe uhalisia wa mambo ulivyo ili wajiandae mapema kisaikolijia (na kiuchumi pia) kuikabili hali maana wanaamini mambo ni rahisi tu
 
Yani aliamini atasoma na ni lazima serikali impe ajira? Kwamba ni lazima ? Huu ni upumbavu mkubwa sana, Elimu itumike kutukomboa kifikra ! Hata aje Obama ama Trump awe Rais wa Tz hawezi kutatua ishu ya ajira kwa vijana !
Mi nadhani hoja yake ambayo imemfanya alie sio kama ambavyo umeipokea.
Yeye anahuzunishwa na maisha/hali inakoelekea (hana ajira) na kwenye mitihani /Usaili kuwania nafasi za Ajira anakutana na wale waliokuwa ni wanafunzi wake. Lakini kubwa zaidi tukubali-tukatae; umri kwa jinsia Ke ni mojawapo ya visababishi vikubwa vya Stress.
 
Ni muda wa kuzitransform akili zetu, kusoma sio garantii ya kuajiriwa na serikali!
 
Hivi ni usahili au usaili ?

All in all pole Sana, jaribu mambo mengine pia
 
Back
Top Bottom