This is raw truth about Israel which everybody needs to know

This is raw truth about Israel which everybody needs to know

Mbona nyie watanzani ni wazito sana kuelewa israeli haiwapendi nyie lakini mnavyojipendekeza sasa
 
Wala mimi si MuislamI am a truth teller.Kwa kuongeza I am a born again Christian
Huwezi kuzaliwa Christian and ukawa against Israel and ukabase kwa iblis na watumwa wake.. kwa lipi haswa linalokufurahisha kwa iblis? Uongo wao umeupenda? Hebu tutajie kitu kimoja tu chaukweli kuhusu waislam.. moja tu tafadhari
 
Watu wanaotawala Israel na hao wanaojiita Waisraeli unaowaons Israel sio Wasraeli,Bwana Yesu mwenyewe aliwaita Sinagogi la Shetani,kwa hiyo ni watoto wa Shetani proper hawawezi kubadilika.Waisraeli wakweli ni Waebrania ambao wamesambaa Dunia nzima,lakini Mungu katika siku za mwisho atawakusanya tena.

So you see,we are right to expose such evil people, ili watu wawajue wajiepushe nao ili wasiwa-take advantage.
Hakuna mkristo mjinga mjinga ambaye ana jicontradict kwa kutumia maneno yake mwenyewe..

Useme hakuna wayahudi pale Israel ya sasa, unasema wayahudi wa kweli ni Hebrew hujui kuwa Hebrew ni lugha na sio watu kenge wewe... unasema wayahudi wa kweli wametapanyika na watakusanyika hujui hata maana ya Zion.. basi kuanzia leo tanbua Zion ndio harakati za kukusanyika ndio maana hata mafarasha wa Ethiopia wapo pale Israel wewe umelala bado amka harakati zimeanza 18 century wewe unadhani bado tu eti iwatakuja.. unajicontradict sababu hufuatilii news.. ndio matatizo ya kuishi karibu na misikiti mmasikilzishwa mawaidha na mashehe wasio soma wana elmu dunia.. akili zimelazwa
 
Kama hujui kwamba Hebrews ni watu sina haja kwa kweli kuendeleza dialogue na wewe,you are too ignorant.
 
Huwezi kuzaliwa Christian and ukawa against Israel and ukabase kwa iblis na watumwa wake.. kwa lipi haswa linalokufurahisha kwa iblis? Uongo wao umeupenda? Hebu tutajie kitu kimoja tu chaukweli kuhusu waislam.. moja tu tafadhari
We are not against true Israelis we are against Fake Israelis or the Synagogue of Satan who pretend to be Israelis.Hawa ndio wanao-waua Wapalestina wakidai ni Semites kumbe hawana hata tone la semitic blood.

Soma Revelation 2:9 na Revelation 3:9
 
Ninyi atheists/Freemasons mnao-toa watoto makafara sio matatizo?Mrudieni Mungu kabla dirisha la neema halifungwa.Mungu atakaposhusha hasira yake,mtatamani milima iwaangukie ili mfe,lakini hata kifo kitawakimbia.Mrudieni Mungu kabla hamjachelewa.
Wakati mambo haya mabaya uliyoyataja yatakapokuwa yanaupata ulimwengu wewe utakuwa wapi?
 
Wakati mambo haya mabaya uliyoyataja yatakapokuwa yanaupata ulimwengu wewe utakuwa wapi?
Mimi nimemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu kwa hiyo nina ulinzi wa Mungu wakati wowote na katika mazingira yeyote.Karibu na wawe umwamini Kristo ili upate ulinzi wake.
 
Mimi nimemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu kwa hiyo nina ulinzi wa Mungu wakati wowote na katika mazingira yeyote.Karibu na wawe umwamini Kristo ili upate ulinzi wake.
Hujajibu swali langu
"Wakati mambo haya mabaya uliyoyataja yatakapokuwa yanaupata ulimwengu wewe utakuwa wapi?"
Au hujui utakapokuwa? au huna hakika?
 
Hujajibu swali langu
"Wakati mambo haya mabaya uliyoyataja yatakapokuwa yanaupata ulimwengu wewe utakuwa wapi?"
Au hujui utakapokuwa? au huna hakika?
Hatugombani,hii ni discussion,shuka be polite.

Kujibu swali lako,skijui wakati huo nitakuwa wapi,inawezekana nikawa nimekufa,nimelala kaburini au bado Niko hai..Whatever the case may be,in eternal life kwa kuwa nimezaliwa mara ya pili,nitakuwa na Bwana Yesu in the New Jerusalem.Kama niko hai Bwana Yesu atanilinda dhidi ya matukio yote hayo.

Karibu na wewe ili uwe assured of being with Christ in the New Jerusalem au akulinde kama matukio hayo yatatokea ukiwa hai.

Narudia,sihitaji kubishana,nimemaliza,take it or leave it.
 
Hizi consipiracy theory zinawapoteza wengi, hususani christian ambao wanatumia Maandiko with wrong interpretation. A born again Christian ana huruma kwa wayahudi(isael) na wayunani( wa mataifa mengine) pia.
Israel biblicall ndio born again christian, its not by birth but by faifh in Jesus Christ.
Hii ni propaganda ya chuki kwa mlango mwingine, wapo wanawachukia Palestians huo nao mlango wa uovu mwingine.

Unadhani chaos, vita mauaji yapo Middle East tu? Hapana Ulaya yapo, Asia, Afrika, allover the world.
 
Hata concept ya "Conspiracy Theory" hujui the why's.Watu kama ninyi ni kuwaacha tu,maana mmepotoshwa beyond repair.
 
Muslims ... na vita dhidi ya Israel kamwe mtakwama kila njia zenu ovu.
Sawa, kwa faida ya wengi, raia wa ISRAEL kwa misingi ya imani zao;

(a) 74% - WAYAHUDI
(b) 20% - WAISLAMU
(c) 05% - WAKRISTO
(d) 01% - WENGINEO
 
The return of TikTok to the United States apparently came at a politically-correct price: Shut down all criticism of Israel.

Users of TikTok have suddenly found the phrase "FREE PALESTINE" is now "Hate Speech."

Here is what happens now if anyone writes "Free Palestine" on TikTok:

Opinion
Once again, the same wretched group of imposters, claiming to be "Israel" when they are not, show themselves to be "of their father, the Devil."

The Bible records that it was Jesus the Christ Himself who told the Pharisees "You are of your father, the Devil" (John 8:42-47) - and they were!In fact in Revelation 2:9 and 3:9 Jesus called them fake Israelis!

Revelation 2:9
[9]I know your afflictions and your poverty—yet you are rich! I know about the slander of those who say they are Jews and are not, but are a synagogue of Satan.

Revelation 3:9
[9]I will make those who are of the synagogue of Satan, who claim to be Jews though they are not, but are liars—I will make them come and fall down at your feet and acknowledge that I have loved you.

What else does the Bible tell us? "By their fruits, you will know them." (Matthew 7:15-20)

You Will Know Them by Their Fruits​

15 “Beware of false prophets, who come to you in sheep’s clothing, but inwardly they are ravenous wolves. 16 You will know them by their fruits. Do men gather grapes from thornbushes or figs from thistles? 17 Even so, every good tree bears good fruit, but a bad tree bears bad fruit. 18 A good tree cannot bear bad fruit, nor can a bad tree bear good fruit. 19 Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire. 20 Therefore by their fruits you will know them.

The Bible also tells us "Those who bless Israel will be blessed; those who curse Israel will be cursed." (Numbers 24:9,Genesis 49:9,Genesis 12:3)

Has the United States been "blessed" by supporting this imposter state, calling itself "Israel" or have we been cursed?

What are the "fruits" we all see from so-called "Israel?" Land theft, persecution, Murder, and now in Gaza, GENOCIDE.

In fact, can any of you name anything the United States has been blessed with, as a result of us supporting the Genocidal maniacs in that cesspool of a country?

Instead of being BLESSED, I see the United States has been CURSED by supporting this political entity disguising itself as "Israel." Remember, "Israel" is a PEOPLE . . . . not lines on a map drawn by men.

And If I am correct in my observation that we have been CURSED, then it stands to reason that these folks claiming to be "Israel" are not. Perhaps THAT is why we are cursed?

We give them tens of billions of dollars a year in free welfare money because they are such dismal failures as a people, they can't support themselves. We give them billions worth of weapons because they have no real manufacturing and cannot defend themselves.

The food they eat has to come from mostly outside their barren, desolate, land.

Their army is such a pipsqueak force that despite facing an "enemy" that has no army, and bombing that "enemy" mercilessly for over a year, they STILL couldn't get rid of Hamas . . . . a group ISRAEL FUNDED so as to get rid of Yassir Arafat's "FATAH" Party!

They created and funded HAMAS and now claim that HAMAS is a "terrorist group" that their entire army couldn't get rid of in over a year. Useless army, too.

Yet these parasites, who need to siphon from us just to exist, wield so much power politically, that legislatures around the planet "step-and-fetch" for their (money) masters just like a good negro from the Plantation days! Make no mistake, most of the national elected politicians are -- in fact-- political plantation slaves to the money wielded by these parasites in and from Israel. Either that, or . . . . they are of THEIR father, the Devil, too.

Now all the people who use TikTok, get to witness it, firsthand.
Nashindwa kukuelewa huu UHARO ume-copy kutoka sehemu nyingine na kutuletea hapa? Hapa kuna wamatumbi wenzangu wengi sana hutaki wajue UHARO wako huu unasemaje?
 
Watu wanaotawala Israel na hao wanaojiita Waisraeli unaowaons Israel sio Wasraeli,Bwana Yesu mwenyewe aliwaita Sinagogi la Shetani,kwa hiyo ni watoto wa Shetani proper hawawezi kubadilika.Waisraeli wakweli ni Waebrania ambao wamesambaa Dunia nzima,lakini Mungu katika siku za mwisho atawakusanya tena.

So you see,we are right to expose such evil people, ili watu wawajue wajiepushe nao ili wasiwa-take advantage.
Hapo ndipo unapoonyesha wewe ni Born Again Christian wa MICHONGO. wewe ni muumini wa mihadhara ya kijinga Sinagogi la shetani unalijua? Acha kudanganya watu!!!
 
Back
Top Bottom