Hehee, kuna watu hawana kazi nyingine zaidi ya hii ya kucheza na komputer. Mimi nilistrugle kabisa kutafuta namna ya kusogeza cursor kwenye uso nikashindwa kabisa.Hahaha funny indeed...ila mpk sa hz naumiza kichwa kuelewa wametengenezaje hii kitu, hii si mchezo.