American Ninja
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 237
- 330
Hii ni kwa Tanesco Aisee Sijawahi kuona mgao kama huu, Huku mbagala Chamazi sasa tunakatiwa umeme masaa 24, hadi zaidi!
Tuliambiwa kuwa ni maboresho ila nimegundua wazi ilikuwa ni Propaganda ya Mgao wa umeme! Jamaa wanatafuta maeneo yenye population kubwa na watu duni kisha wanawakaba koo kwa mgao wa umeme! Hatufanyi kazi!
HII HALI BORA KUFA!😔😔😔😔