American Ninja
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 237
- 330
Na wanasema wanauwezo wa kuuza nje ya nchi umeme waoWatakwambia tuna umeme mpaka unamwagika. Bongo hii sio ya kuichukulia seriously sana mazee.
Na wanasema wanauwezo wa kuuza nje ya nchi umeme wao
Dah mkuu hii hali haiwezekani kiumbe hai akaielewa! Ni zaidi ya matesoNa wanasema wanauwezo wa kuuza nje ya nchi umeme wao
Wewe unaielewa hiyo hoja?Umeme haukatiki sababu ya upungufu wa uzalishaji umeme. Bali unakatika sababu wana upgrade miundombinu ya usambazaji umeme. maana ni ya zamani haiendani na kasi ya bwawa
Baba sisi hii ni tangu saa 12 asubuhi, hii ngoma kurudi itakuwa kesho mchanqSi wanaweka zile nguzo za zege mkuu naona hata huku kigamboni wanaweka hizo nguzo wakikata asubuhi kurudi saa 5 usiku sio powa kama hauna jenereta hautoboi walahi
Unashindwa kuelewa maji yamekaukaje au kupunguq mwezi wa 4Hata huku mikoani
Poleni sana mkuuBaba sisi hii ni tangu saa 12 asubuhi, hii ngoma kurudi itakuwa kesho mchanq