This is serious ppo

This is serious ppo

raj dull ah

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Naomben ushauri kwa kila atakaesoma hii
Nina mdogo wangu ni mwembamba sana tunajitahid kumpa balanced diet lakin habadiliki, tumemfanyia chek up yuko poa kila kitu, jaman kwa anaejua tusaidiane kwa hili

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Ni maumbile na ukuaji.
Ana umri gani?
Kwanini mnahitaji aongezeke?
Ni wa me/ke?
 
Kama baada ya checkup yuko poa basi wembamba wake sio tishio kwa maisha sio? Lakini hembu jibu kwanza maswali ya msingi ya Chocs hapo juu. Nilianza kufikiri anorexia lakini details zaidi zinahitajika.
 
Ana miaka 16 kwa sasa, ana nguvu vizur tu lakin ni mwembamba kupita kias

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Leo nipo zamu........kuna mgonjwa mmoja nimemuweka ICU......ndio namfuatilia......

Dr Nina tatizo, kiuno changu kimekakamaa sana na kinauma. Halafu nina tatizo kwa chini yake Mzee Abdalah
amepinda kidogo, nimeenda juzi pale Total kufanya wheel alignment wakasema hawawezi kwa Binadam.

Dr. Help please
 
Wewe tatizo lako ni la kisaikolojia sana......mara ya mwisho kucheza baikoko ilikuwa lini.....? Na ulishughulisha viungo gani hasa.......? Na ulicheza katika mazingira gani....?

Dr Preta......
 
Baikoko niijulie wapi miye nimezaliwa mrima. Halafu mbona lile tatizo la pili umeliweka pending!
 
Back
Top Bottom