Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Watanzania wengi huwa mnaamini mtu mnene ndiye mwenye afya hivyo hupelekea watu kujiachia hovyo na kunenepa kupita kiasi.
Sasa kama nduguyo kapimwa vipimo vyote na hakuna kasoro, hivyo huo wembamba ni umbile tu.
Sasa kama nduguyo kapimwa vipimo vyote na hakuna kasoro, hivyo huo wembamba ni umbile tu.
Ana miaka 16 kwa sasa, ana nguvu vizur tu lakin ni mwembamba kupita kias
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums