raj dull ah
Member
- Mar 29, 2013
- 31
- 6
Habari yako Nicas Mtei
Kama baada ya checkup yuko poa basi wembamba wake sio tishio kwa maisha sio? Lakini hembu jibu kwanza maswali ya msingi ya Chocs hapo juu. Nilianza kufikiri anorexia lakini details zaidi zinahitajika.
Ni maumbile na ukuaji.
Ana umri gani?
Kwanini mnahitaji aongezeke?
Ni wa me/ke?
Ana miaka 16 ni mvulana,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Habari yako Nicas Mtei
nipo poa sana....leo nimeamua kushinda hapa wodini......vipi w/end....?
suruali anavaa size ngapi!!Ana miaka 16 kwa sasa, ana nguvu vizur tu lakin ni mwembamba kupita kias
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Okay Dokta. Weekend imeenda vyema. Leo una night shift hapa wodini?
Leo nipo zamu........kuna mgonjwa mmoja nimemuweka ICU......ndio namfuatilia......
Dr Nina tatizo, kiuno changu kimekakamaa sana na kinauma. Halafu nina tatizo kwa chini yake Mzee Abdalah
amepinda kidogo, nimeenda juzi pale Total kufanya wheel alignment wakasema hawawezi kwa Binadam.
Dr. Help please
Wewe tatizo lako ni la kisaikolojia sana......mara ya mwisho kucheza baikoko ilikuwa lini.....? Na ulishughulisha viungo gani hasa.......? Na ulicheza katika mazingira gani....?
Dr Preta......
Leo nipo zamu........kuna mgonjwa mmoja nimemuweka ICU......ndio namfuatilia......
Poa sana aseenjema. Wewe je Dr? Uko poa?
Kama hana matatizo ni ukuaji tu umri ukifika mwili utapanuka tuAna miaka 16 ni mvulana,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums