Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 28, 2013 #21 Watanzania wengi huwa mnaamini mtu mnene ndiye mwenye afya hivyo hupelekea watu kujiachia hovyo na kunenepa kupita kiasi. Sasa kama nduguyo kapimwa vipimo vyote na hakuna kasoro, hivyo huo wembamba ni umbile tu. raj dull ah said: Ana miaka 16 kwa sasa, ana nguvu vizur tu lakin ni mwembamba kupita kias Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums Click to expand...
Watanzania wengi huwa mnaamini mtu mnene ndiye mwenye afya hivyo hupelekea watu kujiachia hovyo na kunenepa kupita kiasi. Sasa kama nduguyo kapimwa vipimo vyote na hakuna kasoro, hivyo huo wembamba ni umbile tu. raj dull ah said: Ana miaka 16 kwa sasa, ana nguvu vizur tu lakin ni mwembamba kupita kias Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums Click to expand...