Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you too honey...
Ngoja tuwahi studio mzee babahaya mahaba yangeambatanishwa na picha za wahusika ingependeza
Pole sana.Najiuliza mtu anapata wapi muda wa kuwaza, kung'amua na kuona inafaa kuleta uzi wa namna hii..rubbish
Niko hapa mzee mwenzangu. Hivi leo ndo hatuli yale mambo au ni Ijumaa kuu?Babu ODM where are you?
Happy Valentine's day everyone!
Yawezekana utani utani, kumbe hawa jamaa ni nje ya "imagination" kabisa.I love you too honey...
Am happy to have you as my friend and wife...
Happy Valentine's to you too....
Hahaha we jamaa bhana...Yawezekana utani utani, kumbe hawa jamaa ni nje ya "imagination" kabisa.
Happy Valentine's to you guys, mpendane.
Hapa kama kuna chembechembe za wivu vile..Mabinti kwa kupenda vizeeee.......by the way hongera zake
Wivu taratibu meza na maji kama ni chungu sana.Najiuliza mtu anapata wapi muda wa kuwaza, kung'amua na kuona inafaa kuleta uzi wa namna hii..rubbish
Kwa kusifiwa huku naona leo atashinda kaunta....sijui hata kama kazi zitafanyika leoHii kitu nilikua naichukulia kizembezembe naona na yenyewe imekaza. Asprin popote ulipo kaunta yeyote ile, rudi nyumbani sio kwa mahaba haya
Kwa kusifiwa huku naona leo atashinda kaunta....sijui hata kama kazi zitafanyika leo
I love you babu....happy Valentine day Babu Aspirin [emoji8] [emoji8]