Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza utakuta nishaolewaMkuu hapo sasa naona unataka kuharibu interview! Kwa kweli natamani sana huyu binti Shunie angefundwa na Sky Eclat niambulie hizi meseji za mahaba, yaani kweli babu jana yote sijapata hata simple sms achilia mbali wishes za wapendanao, yaani hata ile salamu tu. Bado natafakari huu ushauri kuhusu mjukuu wako Mzigua90
Happy Valentine's darling. Nilijua Shunie alishafikisha salamu zangu za heri kwako.
Ukimaliza utakuta nishaolewa
HAHAAAA ACHA KUHADAIKA NA HAYO MAISHA YA MITANDAO ...Dah! Mie hadi naingia mitamboni sasa hivi bado sijapata wa kunisifu kiasi hicho licha ya kuwa leo siku spesheli
Mitaa ipi hiyo jamanCha ajabu huyu Asprin tunakutana mitaa ya kina Shunie Mzigua90 na madem wengine wazuri hajui wanaume wa JF tukishindwa lalamika tunamfata braza Mshana Jr. atufundishe manuva!.. [emoji2]
Happy valentine's day baba yeyoo wa kwake shunie tu[emoji7][emoji7]Mkuu hapo sasa naona unataka kuharibu interview! Kwa kweli natamani sana huyu binti Shunie angefundwa na Sky Eclat niambulie hizi meseji za mahaba, yaani kweli babu jana yote sijapata hata simple sms achilia mbali wishes za wapendanao, yaani hata ile salamu tu. Bado natafakari huu ushauri kuhusu mjukuu wako Mzigua90
Happy Valentine's darling. Nilijua Shunie alishafikisha salamu zangu za heri kwako.
Asante wa kunyumbaHewaaaaaaa haya mambo madogo madogo ndio huwa yananilainisha kabsaaaaa, nakua kama boflo mbele ya chai... ndio maana kukosa meseji kama hii jana kumenirarua sana.
ahsante sana Babu Asprin kweli unayajua matibabu ya maradhi yangu
Happy valentine's day baba yeyoo wa kwake shunie tu[emoji7][emoji7]
Sitakiii we si umefata ushauri wa babu wa kukugawaSasa naweza hata kumtafuta aunt nikamilishe taratibu.
Sitakiii we si umefata ushauri wa babu wa kukugawa
Sawa baba yeyoo nimekuelewa tuanze ukurasa mpyaSasa mtu anawezaje kuoa mtu na swahiba wake? Mzigua90 si ndugu yako huyo au unamtilia wivu?
Tumetoka mbali ujue, wakristo hatuna ndoa za uke wenza, ni wewe tu Mama yeyoo
zile habari za Babu zilikua ftrastresheni tu
Dada hapa umeingia chaka
Dada hapa umeingia chaka View attachment 696001ila kipenda roho bana... Akitoa mahari nitamsaidia kukarabati front show[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa baba yeyoo nimekuelewa tuanze ukurasa mpya
Ewaa sasa utulie na huyo mtoto wa kizigua. Akikuletea ubishi kuna kajukuu kengine nitakupa kama back upHewaaaaaaa haya mambo madogo madogo ndio huwa yananilainisha kabsaaaaa, nakua kama boflo mbele ya chai... ndio maana kukosa meseji kama hii jana kumenirarua sana.
ahsante sana Babu Asprin kweli unayajua matibabu ya maradhi yangu
I love you too grandie...
Afu unakumbuka nakudai?
Nishafika nakusubiria...Ahahahaah....tukutane inbox babu