This is special for Asprin

This is special for Asprin

Ewaa sasa utulie na huyo mtoto wa kizigua. Akikuletea ubishi kuna kajukuu kengine nitakupa kama back up

Ah! sasa babu naona unataka kuziba shimo kwa kipande cha mkate. Mie michepuko mwiko kabisa kwangu...najua unataka nikuige ila hapo ntakuangusha. Nashukuru sana tumeshayaweka sana na Mama Yeyoo.
 
Sasa si ungemfuata huko huko kwake umwambie sasa unaanika huku ili iweje ...ili tujue mnapendana kimtandao
 
Sasa si ungemfuata huko huko kwake umwambie sasa unaanika huku ili iweje ...ili tujue mnapendana kimtandao
upload_2018-2-15_17-12-25.jpeg
 
Back
Top Bottom