Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
This is tanzania
Weka kioja chochote kinachopatikana nchini na mwisho unamalizia na This is Tanzania.
-Takribani lita laki 2 za mataputapu zinanywewa kila mwaka na watanzania na inakadiliwa nchi yake kuelekea kwenye uchumi wa kati.
This is Tanzaniaaaaa.
-Nchi pekee kunakopatikana muhitimu wa chuo kikuuu mwenye GPA ya 32.
This is tanzaniaaa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
This is Tanzania Nimelewaaa.