This is Tanzania

This is Tanzania

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
This is tanzania

Weka kioja chochote kinachopatikana nchini na mwisho unamalizia na This is Tanzania.



-Takribani lita laki 2 za mataputapu zinanywewa kila mwaka na watanzania na inakadiliwa nchi yake kuelekea kwenye uchumi wa kati.

This is Tanzaniaaaaa.

-Nchi pekee kunakopatikana muhitimu wa chuo kikuuu mwenye GPA ya 32.

This is tanzaniaaa.


[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]


This is Tanzania Nimelewaaa.
 
IMG-20180831-WA0055.jpg


This is Tanzaniaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye link ya kustream ibada ya GWAJIMA jumapili aniwekee hapa.

Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
 
Takribani lita laki 2 za mataputapu zinanywewa kila mwaka na watanzania na eti nchi yake inaelekea kwenye uchumi wa kati.


This is Tanzaniaaaaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom