This is The best of Kenya

This is The best of Kenya

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
kadoda11
MOTOCHINI
tuusan
MK254
Iconoclastes
mulanKE
Kafrican
nyangau mkenya
game over

Nyinyi waTZEE hamjui mangoma za kenya za Kuskiza

Wachana Na Mainstream Media enda kule ndani Utafute Nyimbo zitakutoa Machozi

Kama hii hapa imetoa Ngoma yeyote ya Tzee

Skiza uniambie kama na danganya

Amina By Sanaipei Tande

A Radio presenter in Kenya

Video on Youtube:

Download Link
Mp3
Sana (Sanaipei Tande) - Amina free MP3 download | Mdundo.com

Iyo video ni motooo, sana nakumbuka aliwah toa track na jua kali zaman hivi ilikua yaitwa kwaheri,sina tatizo na sana kabisa, akomae tu game limekaza!!
 
Iyo video ni motooo, sana nakumbuka aliwah toa track na jua kali zaman hivi ilikua yaitwa kwaheri,sina tatizo na sana kabisa, akomae tu game limekaza!!
Nimeweka link hapo ya Kwaheri moto sana
 
tuusan
4ba901f91bdf706ed950896f86c27805.jpg
 
Kuna huu wimbo umekua majanga kwangu, yaani mimi na familia yangu yote huwa lazima tunyanyuke na kuanza kuucheza kila ukianza. My kids have been teaching me the dancing styles and moves in the song Bazokizo by Collo

 
Huo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
 
Uzi mzuri ila mleta mada umezingua kutia kebehi na mazereuuu
 
Back
Top Bottom