This is The best of Kenya

This is The best of Kenya

Nyashinski ni fundi anajua sana na ndo msanii anaesikilizwa zaidi huku Tz
 
Jua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlord[emoji28][emoji28]looh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nadhani itakuwa ndo ngoma best tokea Kenya hata ipigwe wapi bado inabamba [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Elani - nikupende
Elani - kookoo

Hawa madogo wanajua hata sauti Sol wakasome.
Kwanza ulishasikiliza ngoma zao hawa? Daby ..ukisikiliza kwa makini unaweza kuhisi soul inafloat on air kwa harmony waliyonayo...hatari saana.

Honestly sina taarifa muhimu kuwahusu but this is the one of the musician from Kenya whom I regard them as "instrument of music" from Kenya.
 
Mi najitahidi niipende miziki ya Kenya lakini wapi nashindwa nipe mbinu brother
 
6070527fd7ca1bff76ebe8fe56a893c8.jpg
hao wanajiitaje
 
Kwanza ulishasikiliza ngoma zao hawa? Daby ..ukisikiliza kwa makini unaweza kuhisi soul inafloat on air kwa harmony waliyonayo...hatari saana.

Honestly sina taarifa muhimu kuwahusu but this is the one of the musician from Kenya whom I regard them as "instrument of music" from Kenya.
Nawajua saana Elani.
Baadhi ya tracks zao
Kookoo
Hapo zamani
Nikupende
Wapo vizuri saana.
 
Back
Top Bottom