Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Nyashinski? This song kumbe huwanga ya Nyashinski?Nyashinksi
Mungu Pekee
Yes...my man ...omogusii ominto...hehe ulikuwa unadhani ya Nani?Nyashinski? This song kumbe huwanga ya Nyashinski?
Iyo video ni motooo, sana nakumbuka aliwah toa track na jua kali zaman hivi ilikua yaitwa kwaheri,sina tatizo na sana kabisa, akomae tu game limekaza!!kadoda11
MOTOCHINI
tuusan
MK254
Iconoclastes
mulanKE
Kafrican
nyangau mkenya
game over
Nyinyi waTZEE hamjui mangoma za kenya za Kuskiza
Wachana Na Mainstream Media enda kule ndani Utafute Nyimbo zitakutoa Machozi
Kama hii hapa imetoa Ngoma yeyote ya Tzee
Skiza uniambie kama na danganya
Amina By Sanaipei Tande
A Radio presenter in Kenya
Video on Youtube:
Download Link
Mp3
Sana (Sanaipei Tande) - Amina free MP3 download | Mdundo.com
Nimeweka link hapo ya Kwaheri moto sanaIyo video ni motooo, sana nakumbuka aliwah toa track na jua kali zaman hivi ilikua yaitwa kwaheri,sina tatizo na sana kabisa, akomae tu game limekaza!!
Jua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlord[emoji28][emoji28]looh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho
kama mziki haupo kwenye mainstream level, hapo kuna shida.Ingine Hamtaskia kwa Radio Mainstream popote Africa
Hamna kitu hapoKuna huu wimbo umekua majanga kwangu, yaani mimi na familia yangu yote huwa lazima tunyanyuke na kuanza kuucheza kila ukianza. My kids have been teaching me the dancing styles and moves in the song Bazokizo by Collo