Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know .....nimeiona tu alafu some supermarket attendandt akaniambia hiyo ndio best energy drink watu hawajaitambua bado nkabeba nne ....ziko poa sana heheheThat is the best product ever... I usually take two or three of them each day, and they help me to stay active...
Kwanini nichukie azam???Aaaagh nawe unatuchanganya tu hapa.... usitutie makengeza. Mkenya lini akasifia cha mtanzania!!!
Basi sawa, hebu nitafutie gs/ german shephard huko, na unijulishe nahitaji sanaKwanini nichukie azam???
Its Good sio uongo!......
usinywe Zaidi ya mbili kwa siku na pia soma masharti mengine kabla hujanywa energy drinkI know .....nimeiona tu alafu some supermarket attendandt akaniambia hiyo ndio best energy drink watu hawajaitambua bado nkabeba nne ....ziko poa sana hehehe
unatafuta mbwa aina ya German shepherd kama nimekuelewa vizuri?Basi sawa, hebu nitafutie gs/ german shephard huko, na unijulishe nahitaji sana
Njoo utapata Nakuru pahali panaitwa Lanet They grow german shephard and they are usually trained by army personel just past pipeline!Basi sawa, hebu nitafutie gs/ german shephard huko, na unijulishe nahitaji sana
Mbona huku tunao tena orijino kabisaunatafuta mbwa aina ya German shepherd kama nimekuelewa vizuri?
pia dog section huku sides za white house wanazitrain piaNjoo utapata Nakuru pahali panaitwa Lanet They grow german shephard and they are usually trained by army personel just past pipeline!
Unazingua sasa .....kwahyo hamna bidhaa zingne nzuri kutoka tz umeona hyo tu. ...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kun product nyingi kama Chai bora, Tanga fresh, Dasani, Kilimanjaro water,Kwanini nichukie azam???
Its Good sio uongo!......