This is the reason why kenyatta wants to meet Buden

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726

My take: Kenyatta met serkosy-then French president and tried to convince him so that EACOP project could go to Kenya and not TZ.
 
Ati buden[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio babyF Mana hizi lugha ,uandikaji ,utamkaji unatofatiana unaweza kuta kwa accent yake anachotamka sio kilitakiwa kuandika ,usiku huu hujalala au nawewe huko kwenu ni sa moja na nusu Kama Mimi huku
 
njoo inbox basi baby fansy unirekebishe vizuri
Unazijua za kichina na kikorea wewe? [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio babyF Mana hizi lugha ,uandikaji ,utamkaji unatofatiana unaweza kuta kwa accent yake anachotamka sio kilitakiwa kuandika ,usiku huu hujalala au nawewe huko kwenu ni sa moja na nusu Kama Mimi huku
Mi nalalaga masaa 5 tu yananitosho na sahiv kwetu ni saa mbili asbuh
 
Biden anajaribu kuwanunua wale wote waliokopa pesa za China, Marekani ni wajinga uwa wananunua marafiki halafu wanajisifu wanapendwa sana kumbe wapi watu wanapenda pesa zao tuu
 
Unazijua za kichina na kikorea wewe? [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sizijui, vyote hivyo utanifundisha inbox huko
 
Huyu french ana ujinga ambayo sielewi. Nimeshamueleza kwenye uzi mwingine kwamba maamuzi ya ICJ ni final na hayawezi kubadilishwa na yeyote including USA. Halafu anaanzisha uzi kuspread ujinga wake. Huyu ni mtu wa kupuuzwa tu
 
hahaha, kenyatta yeye anajua Biden anaweza badilisha maamuzi. project ya EACOP Kenyatta alienda france na kumuomba serkozy apeleke bomba kenya, serkozy akasema thats business agenda hawezi fanya.
 
hahaha, kenyatta yeye anajua Biden anaweza badilisha maamuzi. project ya EACOP Kenyatta alienda france na kumuomba serkozy apeleke bomba kenya, serkozy akasema thats business agenda hawezi fanya.
Ety Sarkozy, kumbe we ni fala tu, akili yako haipati updates.
 
Kenyatta mutu ya deal, ana investment za siri nje ya nchi
 
kenyatta ashaanza kuongea huko kuhusu hiyo issue
Sasa kosa lipo wapi hapo kila mtu anangalia maslahi ya nchi yake ulitaka Kenyatta apambanir deal ije TZ dunia na biashara huria umepitwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…