Redirecting
www-businessdailyafrica-com.cdn.ampproject.org
My take: Kenyatta met serkosy-then French president and tried to convince him so that EACOP project could go to Kenya and not TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kenyatta ashaanza kuongea huko kuhusu hiyo issueAcha wivu.
Ni hayo tu
Kwa nini mnashauri isiwe Tanzaniakenyatta ashaanza kuongea huko kuhusu hiyo issue
Biden, nimekosea hapoBuden au Biden?
Ati buden[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buden au Biden?
njoo inbox basi baby fansy unirekebishe vizuriAti buden[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio babyF Mana hizi lugha ,uandikaji ,utamkaji unatofatiana unaweza kuta kwa accent yake anachotamka sio kilitakiwa kuandika ,usiku huu hujalala au nawewe huko kwenu ni sa moja na nusu Kama Mimi hukuAti buden[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unazijua za kichina na kikorea wewe? [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo inbox basi baby fansy unirekebishe vizuri
Mi nalalaga masaa 5 tu yananitosho na sahiv kwetu ni saa mbili asbuhndio babyF Mana hizi lugha ,uandikaji ,utamkaji unatofatiana unaweza kuta kwa accent yake anachotamka sio kilitakiwa kuandika ,usiku huu hujalala au nawewe huko kwenu ni sa moja na nusu Kama Mimi huku
Pamoja mkuuBiden, nimekosea hapo
sizijui, vyote hivyo utanifundisha inbox hukoUnazijua za kichina na kikorea wewe? [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu french ana ujinga ambayo sielewi. Nimeshamueleza kwenye uzi mwingine kwamba maamuzi ya ICJ ni final na hayawezi kubadilishwa na yeyote including USA. Halafu anaanzisha uzi kuspread ujinga wake. Huyu ni mtu wa kupuuzwa tuRedirecting
www-businessdailyafrica-com.cdn.ampproject.org
My take: Kenyatta met serkosy-then French president and tried to convince him so that EACOP project could go to Kenya and not TZ.
hahaha, kenyatta yeye anajua Biden anaweza badilisha maamuzi. project ya EACOP Kenyatta alienda france na kumuomba serkozy apeleke bomba kenya, serkozy akasema thats business agenda hawezi fanya.Huyu french ana ujinga ambayo sielewi. Nimeshamueleza kwenye uzi mwingine kwamba maamuzi ya ICJ ni final na hayawezi kubadilishwa na yeyote including USA. Halafu anaanzisha uzi kuspread ujinga wake. Huyu ni mtu wa kupuuzwa tu
Ety Sarkozy, kumbe we ni fala tu, akili yako haipati updates.hahaha, kenyatta yeye anajua Biden anaweza badilisha maamuzi. project ya EACOP Kenyatta alienda france na kumuomba serkozy apeleke bomba kenya, serkozy akasema thats business agenda hawezi fanya.
Sasa kosa lipo wapi hapo kila mtu anangalia maslahi ya nchi yake ulitaka Kenyatta apambanir deal ije TZ dunia na biashara huria umepitwa sanakenyatta ashaanza kuongea huko kuhusu hiyo issue