This is too much muda umefika kusema no kwa jkt

Vjana lile tangazo ni kwa form six na sio wanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.(undergraduates) hvyo mcwe na wacwac wote mlioripot vyuoni na mnaojiandaa kwenda haiwahusu.
 
we vp?mbona sasa ni majina yetu?utasemaje haituhusu?
 
Vjana lile tangazo ni kwa form six na sio wanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.(undergraduates) hvyo mcwe na wacwac wote mlioripot vyuoni na mnaojiandaa kwenda haiwahusu.

we vp?mbona sasa ni majina ni yetu?utasemaje haituhusu?
 
hivi hawa ------- wa jkt na serikali ya ccm ina matatizo gani? hapa watafikia hatua ya kutaka kutugeuza nyuma. lisipotolewa ufumbuzi hili swala jkt siendi kwani sina mda wa kulinda geti za watu na ndo maana niliamua kusoma. wakinizingua na ajira ntaenda private.
 
Back
Top Bottom