This is too much! Unyanyasaji huu wa kituo cha Polisi Murieti

Tatizo dogo hilo maliza hapo ndo wanakufundisha Nini maana ya kuwa baba
 
Aisee pole sana,kama ulikuwepp wakati anakamatwa bora ungeenda wewe mama abaki,pia tumia busara kudeal na hao watu ukionesha unaonewa wanakuonea kweli,halafu leo ijumaa ukicheza kumtoa mpaka jumatatu....
 
Haya ni manyanyaso mkuu kwa sisi wanyonge....
 
Huo ni uonevu mkuu. Sio kufundishana.....
Wakati wife wako anakamatwa usikute we ulikua umejifcha juu ya dari ila fresh tu zote ni mbinu za kivita muda wa kwenda kumuokoa umefika
 
Nyoosha maelezo bwana wee!
Police wamekuna kukagua vyoo kama nani??
Kwenye ofisi ya kata hakuna kitengo cha afya na ukaguzi wa mazingira??
Police walipofika walisema wamekuja kufanya nini?
Nyumba ya aina gani hiyo mpaka muwe na matundu zaidi ya moja ya choo??

Nakushauri ulizia vizuri chanzo cha mkeo kukamatwa, uje tukupe ushauri.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndugu wanajamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Mida ya saa 10 jioni hii katika eneo la Uswahilini hapa Arusha (Mjini), maaskari wa kituo cha Murieti wamemkamata mke wangu nakumpeleka kituoni kisa nyumba tunayoishi haina matundu yakutosha ya vyoo.

Ukweli uliopo:
1.Nyumba hii huyu mmiliki mpya ameinunua kama miezi 2 iliyopita na katika muda huu mchache katuunganishia maji safi na kafanya utaratibu wote na hivi sasa tunasuburi kuunganishwa kwenye bomba la maji taka. Nyumba hii tayari AUWSA wameshaweka alama kwamba wakati wowote wataiunganisha kwenye mfumo wa maji taka.
2.mke wangu kakabidhiwa kukusanya kodi ya mwenye nyumba hapa tunayoishi, na siye mmiliki. Mmiliki haishi na sisi. Na hatujui anapoishi. Mke wangu kampigia simu kasema yupo safarini.
3.Kuna matundu 2, ila moja mmiliki mpya kaambiwa asubiri mpaka idara ya maji wakianza kuunganisha mfumo wa maji taka basi watampa maelekezo jinsi yakuiunganisha na mfumo wao.
4. Tangu niishi kwenye hii nyumba, ambapo ni takribani mwaka wa 4 huu, hatujawahi kufwatwa kwa jambo kama hili, ukizingatia kwamba huyu mmiliki mpya huwa ananyonya mara kwa mara choo kikijaa katika nyumba hii. Na leo walivyokuja hawakukuta uharibifu wowote wakimazingira.

Naombeni msaada wenu ndugu zanguni. Nifanyeje???
Murieti IPO mkoa gani na wilaya gani
 
Kama ulichokiandika NI sahihi weka mkoa ,wilaya na maeneo hicho kituo na si KAZI jeshi la police kukagua vyoo
 
I smell a rat.Kuna jambo mlalamikaji hajaelezea.Polisi na usafi wa mazingira wapi na wapi?Walikuja wahusika wa afya ukatokea ugomvi au shambulio?Nyoosha maneno!!
 
Back
Top Bottom