This is too much! Unyanyasaji huu wa kituo cha Polisi Murieti

................
 
Tatizo dogo hilo maliza hapo ndo wanakufundisha Nini maana ya kuwa baba
 
Aisee pole sana,kama ulikuwepp wakati anakamatwa bora ungeenda wewe mama abaki,pia tumia busara kudeal na hao watu ukionesha unaonewa wanakuonea kweli,halafu leo ijumaa ukicheza kumtoa mpaka jumatatu....
 
Aisee pole sana,kama ulikuwepp wakati anakamatwa bora ungeenda wewe mama abaki,pia tumia busara kudeal na hao watu ukionesha unaonewa wanakuonea kweli,halafu leo ijumaa ukicheza kumtoa mpaka jumatatu....
Haya ni manyanyaso mkuu kwa sisi wanyonge....
 
Huo ni uonevu mkuu. Sio kufundishana.....
Wakati wife wako anakamatwa usikute we ulikua umejifcha juu ya dari ila fresh tu zote ni mbinu za kivita muda wa kwenda kumuokoa umefika
 
Nyoosha maelezo bwana wee!
Police wamekuna kukagua vyoo kama nani??
Kwenye ofisi ya kata hakuna kitengo cha afya na ukaguzi wa mazingira??
Police walipofika walisema wamekuja kufanya nini?
Nyumba ya aina gani hiyo mpaka muwe na matundu zaidi ya moja ya choo??

Nakushauri ulizia vizuri chanzo cha mkeo kukamatwa, uje tukupe ushauri.
 
Reactions: Tui
Murieti IPO mkoa gani na wilaya gani
 
Kama ulichokiandika NI sahihi weka mkoa ,wilaya na maeneo hicho kituo na si KAZI jeshi la police kukagua vyoo
 
I smell a rat.Kuna jambo mlalamikaji hajaelezea.Polisi na usafi wa mazingira wapi na wapi?Walikuja wahusika wa afya ukatokea ugomvi au shambulio?Nyoosha maneno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…