Oh please! you are such a sensitive Suzie. Umekulia wapi ndugu yangu wewe? Yaani hujawahi kuona mbuzi au kuku akichinjwa?
Violation of animal rights kivipi? The picture gave me goose bumps sawa,lakini ndio ukweli wenyewe yanayotokea. Nyama tunakula despite knowing kwamba hawa wanyama hawapewi anaesthesia wakati wanachinjwa
C'mon Nyani! Kuona mnyama anachinjwa ni suala moja, kuweka picha ya mnyama anachinjwa hadharani ni suala jingine. Haki za wanyama, sio tu zinakataza kumuua mnyama kikatili, bali pia zinakataza kuonyesha uuaji (hata kama ni wa haki) hadharani. Kosa waliofanya Ippmedia ni kuweka hiyo picha kwenye vyombo vyao vya habari. Wamevunja sheria za haki ya wanyama. Haukabaliki.
Haki za wanyama za wapi? Tanzania? Ulaya, Amerika ya Kaskazini, Umoja wa Mataifa ama? Kama kweli kuna haki za wanyama basi tuache kabisa kula nyama ya aina yeyote ile kwa sababu kabla ya kula hiyo nyama lazima kuna mnyama aliyeuwawa kwa namna moja au ingine. Dunia hii ina mikanganyo kweli.
Haki za wanyama hazina mipaka. Kama vile zisivyo na mipaka haki za binadamu. Kwa hiyo haki za wanyama za ulimwengu mzima.
Nimemjibu Nkamangi kuhusu ulaji wa nyama. Nitarudia. Kula nyama hakumaanishi kuna uvunjaji wa hizo haki kwa walaji. Hizo haki zinapaswa kuzingatia kwa waandaaji (wachinjaji) wa hao wanyama tunaokula. Kuonyesha jinsi mnyama anavyochinjwa ni uvunjaji wa sheria za wanyama.
Kwani umefikia wapi ? Unaweza kupatia no ya simu yako nikupigie ? Nikuulize mawili 3 au messenger ?
Hii picha nimeikuta Ippmedia.com.
Ukweli ni kwamba Ippmedia wamechemsha kuweka hii picha hadharani. Kufanya hivi ni ku-advocate violations of animal rights.
I suggest wapigwe fine for putting such a brutal picture hadharani.
Mods naombeni muifungue hiyo picha. Pia kama hii mada hapa sio mahala pake, basi msisite kuihamisha kunakostahili
Kwa hiyo kwako wewe ni sawa tu kumuua mnyama ili mradi taratibu za "haki za wanyama" zimefuatwa, sio? Huna tatizo na mnyama anayekufa?
Vipi kuhusu wewe binafsi...!? Je hujakiuka haki za wanyama kwa kubandika picha uliyo iokota IPP Media!?
Haki za wanyama hazina mipaka. Kama vile zisivyo na mipaka haki za binadamu. Kwa hiyo haki za wanyama za ulimwengu mzima.
Nimemjibu Nkamangi kuhusu ulaji wa nyama. Nitarudia. Kula nyama hakumaanishi kuna uvunjaji wa hizo haki kwa walaji. Hizo haki zinapaswa kuzingatia kwa waandaaji (wachinjaji) wa hao wanyama tunaokula. Kuonyesha jinsi mnyama anavyochinjwa ni uvunjaji wa sheria za wanyama.
You're missing the point NN.
Kwa sababu baadhi ya wanyama ni chakula chetu (kama sisi tulivyo chakula kwa baadhi yao), basi hatuna budi kuwala. Na kwa bahati mbaya au mzuri, ni lazima mnyama auliwe, tumpike, na ndio tuweze kumla.
Sasa basi, just because tunawaua ili tuwafanye vitoeo, haitupi haki ya kufanya ukatili kwao. Wao ni viumbe kama sisi. Kwa hiyo tunapaswa kuwatendea haki hata pale tunapowaandaa kuwala. Haki yao iko pale pale, haijalishi ni mboga, pets, au walinzi.