Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
c'mon nyani! Kuona mnyama anachinjwa ni suala moja, kuweka picha ya mnyama anachinjwa hadharani ni suala jingine. Haki za wanyama, sio tu zinakataza kumuua mnyama kikatili, bali pia zinakataza kuonyesha uuaji (hata kama ni wa haki) hadharani. Kosa waliofanya ippmedia ni kuweka hiyo picha kwenye vyombo vyao vya habari. Wamevunja sheria za haki ya wanyama. Haukabaliki.
Sasa tatizo ni hiyo idea ya kuchinja au kuiweka kwenye gazeti?
Kama hatuna tatizo na idea ya kuchinja, na tunapenda nyama, kwa nini kujifaragua kwamba picha hii haifai kuwekwa kwenye gazeti?
Akija rastafarian, au animal rightists tree hugger vegetarian akasema hivyo nitamuelewa kwa sababu ana principle za kutokula nyama na ukatili kwa wanyama, je wewe ni mmoja wao?
Mimi nafikiri, kama unataka ku protest, the issue should be mbuzi anachinjwa, na sio picha ya mbuzi anachinjwa iko front page.
Kama unakula nyama halafu hutaki ijulikane nyama inatoka wapi utakuwa unasimamia obscurity tu.
Hapa sijakuelewa unapoongelea haki za wanyama ni zipi hasa?
1. Asichinjwe?
2. Asiliwe?
3. Asipigwe?
4. Asifugwe (Maana kufungiwa pia kunamnyima uhuru)?
Ukisha fafanua haya ndiyo uanze kupiga kelele ni haki gani imevunjwa?. Sio kutulea mambo ya western kwenye vyama vya kutetea paka, mbwa n.k.
Kumbuka huyu anachinjwa ili aliwe na siyo afukiwe chini. Malalamiko yako yananifanya nikuone kama "Rasta" vile maana kuna baadhi ya marasta wao hawali nyama, Ila wanashindwa kujua kuwa hata miti ambayo hutoa matunda na mbogamboga tunazokula nazo pia zina-uhai na ili ule ni lazima uvitoe uhai (kuua).
Hapa hakuna jipya kwenye hii habari zaidi wapenda nyama kuanza kuweka " Imagination" ya mbuzi choma + pilipili + chumvi + Limau na kachumbali.
Hapa sijakuelewa unapoongelea haki za wanyama ni zipi hasa?
1. Asichinjwe?
2. Asiliwe?
3. Asipigwe?
4. Asifugwe (Maana kufungiwa pia kunamnyima uhuru)?
Ukisha fafanua haya ndiyo uanze kupiga kelele ni haki gani imevunjwa?. Sio kutulea mambo ya western kwenye vyama vya kutetea paka, mbwa n.k.
C'mon Nyani! Kuona mnyama anachinjwa ni suala moja, kuweka picha ya mnyama anachinjwa hadharani ni suala jingine. Haki za wanyama, sio tu zinakataza kumuua mnyama kikatili, bali pia zinakataza kuonyesha uuaji (hata kama ni wa haki) hadharani. Kosa waliofanya Ippmedia ni kuweka hiyo picha kwenye vyombo
Kimsingi you are right.
Hii picha nimeikuta Ippmedia.com.
Ukweli ni kwamba Ippmedia wamechemsha kuweka hii picha hadharani. Kufanya hivi ni ku-advocate violations of animal rights.
I suggest wapigwe fine for putting such a brutal picture hadharani.
Mods naombeni muifungue hiyo picha. Pia kama hii mada hapa sio mahala pake, basi msisite kuihamisha kunakostahili
I think you are the one missing the point here. The premise of my argument is killing. Isn't killing barbaric? Unapoua kiumbe hai huoni kama hutendi haki? Utatendaje haki wakati unaondoa uhai wa mnyama? Kama unataka watendewe haki basi wasiuliwe kabisa.
QM,
Ukiamini katika ukristo unatakiwa kutokuwa na shida na picha hiyo, maana iliandikwa bin-adam aende kukaa na kuijaza dunia na kuvitawala vyote vilivyomo, kutawala ni pamoja na kuchinja huko.
Tena ukifika sehemu sehemu huko kwenye mila za kunyumba watu wanatoa na sadaka ya damu bado.
Sasa tatizo ni hiyo idea ya kuchinja au kuiweka kwenye gazeti?
Kama hatuna tatizo na idea ya kuchinja, na tunapenda nyama, kwa nini kujifaragua kwamba picha hii haifai kuwekwa kwenye gazeti?
Akija rastafarian, au animal rightists tree hugger vegetarian akasema hivyo nitamuelewa kwa sababu ana principle za kutokula nyama na ukatili kwa wanyama, je wewe ni mmoja wao?
Mimi nafikiri, kama unataka ku protest, the issue should be mbuzi anachinjwa, na sio picha ya mbuzi anachinjwa iko front page.
Sisi na wamagharibi tuna value systems tofauti, muulize Rupia aliyekamatwa kwa kuchinja mbuzi nyumbani kwake.
There is a reason George Bush alisoma "My Pet Goat" and a pet is considered a member of family so in the US kumchinja mbuzi kunaweza kuwa interpreted sawa na kumchinja member of family.