This is urgent!!!!

This is urgent!!!!

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Nahitaji mpenzi,nisaidieni wanajukwaa
Yangu juzi nimeweka tangazo sijapata response ya maana
Jamani tusaidiane,wote sisi tumeumbwa na Mungu,hakuna aliyejiumba,tusibaniane
 
mvumilivu hula mbivu....vumilia tu Mungu atakupa hitaji lako kwa muda muafaka ( anasema hawai wala hachelewi bali anakupa kwa wakati)
 
Jenu hebu relax kwanza mamii!
mapenzi hayavutwi na kamba hivo
kuwa na umri mkubwa(kwa mujibu wako)kuachwa na mpenzi hakukupi sababu ya wewe kujizira kiasi hiki mamii!
sijasema huwezi kupata mpenzi humu,lakini hata aliye na nia ya kweli kwa style hii unamfukuza!
watakufanya tambara la deki tu wakuache!
jipe muda!get a sip kwanza!LOVE WILL COME ON UR WAY!
huwa hatutafuti wanaume kwa nguvu hivi mamii!
huwezi kupata mwanaume kwa collective strategy kiasi hiki!
moyo na mwili wako sio SANDAKALAWE mamii,kiasi cha mwenye kupata apate!AU CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA!
please!
 
Last edited by a moderator:
Tutawasiliana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nahitaji mpenzi,nisaidieni wanajukwaa
Yangu juzi nimeweka tangazo sijapata response ya maana
Jamani tusaidiane,wote sisi tumeumbwa na Mungu,hakuna aliyejiumba,tusibaniane

Ru he or she? Anyway ur sounding as if ur disabled! Do u?
 
Nahitaji mpenzi,nisaidieni wanajukwaa
Yangu juzi nimeweka tangazo sijapata response ya maana
Jamani tusaidiane,wote sisi tumeumbwa na Mungu,hakuna aliyejiumba,tusibaniane

Sali kwa Mungu, Yeye Alikuumba, Akupatie your better half.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Nahitaji mpenzi,nisaidieni wanajukwaa
Yangu juzi nimeweka tangazo sijapata response ya maana
Jamani tusaidiane,wote sisi tumeumbwa na Mungu,hakuna aliyejiumba,tusibaniane

sasa mimi nitakusaidiaje; au nikupe mpenzi wangu????
 
kwani wanaume wana faida gani hivo unashindwa kulala? maisha ni wewe mwenyewe
wangapi wanalizwa daily hata kuuwawa na hao ndugu
tulizana huko
 
teh teh hii kali sana, hata mtu angekua na interest hii desparation itamkimbiza/
 
Back
Top Bottom