Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Jobless uwa hatuli mchana tumbo linajua, ila wewe mwana utopolo kwa mwili huu tumekuruhusu uwe unakula milo minne yani, asubui,mchana,usiku na usiku wa mananeAisee... Kale mchana mkuuView attachment 3251736
Hivi akitokea mtu akakuuliza lengo hasa la kuanzisha huu uzi wako, utakuwa na majibu sahihi kweli!! Au ni kwa sababu upo kwenye umri sahihi wa foolish age?Utopolo ni kawaida yao kuishia hatua ya makundi, hapo waliburuza mkia na wanadaiwa goli 9.
Ule msimu wao wa ngekewa waliobahatisha kwa kukutana na wagonjwa akina Malumo na Rivers walijiona na wao wameshakua wakubwa wakaenda kchwa kichwa wakala za uso wakafirumushwa kwa aibu
Sindano,uchawi na kununua mechi hakujawai kuipa ubora timu yoyote dunia hii zaidi ya kukumbana na fedhea kama waliyokutana nayo utopolo View attachment 3251733
Jobless uwa hatuli mchana tumbo linajua, ila wewe mwana utopolo kwa mwili huu tumekuruhusu uwe unakula milo minne yani, asubui,mchana,usiku na usiku wa mananeView attachment 3251744