Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Utopolo ni kawaida yao kuishia hatua ya makundi, hapo waliburuza mkia na wanadaiwa goli 9.
Ule msimu wao wa ngekewa waliobahatisha kwa kukutana na wagonjwa akina Malumo na Rivers walijiona na wao wameshakua wakubwa wakaenda kchwa kichwa wakala za uso wakafirumushwa kwa aibu
Sindano,uchawi na kununua mechi hakujawai kuipa ubora timu yoyote dunia hii zaidi ya kukumbana na fedhea kama waliyokutana nayo utopolo