The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na polisi waka - act accordingly kumchukua na kumpeleka...
Kwa maelezo yake Jerry Silaa anadai yeye alimaliza maelezo yake yote ktk wito wa awali. Hajui huu wito usio rasmi wa pili wanataka akawaambie nini tena...
Pamoja na kuwa siyo rasmi, thank God, yeye kafika kwa wakati na hakukuta mtu ukumbini....
Swali ni; kama hii kitu ni kweli, ni game gani kamati hii inajaribu kuicheza..?
Kweli, kama Mr. Sugu asemavyo NI NGUMU KUHAMA BONGO kwa vituko hivi...!!